Video: Lakuchumpa Joti na Godzilla

Baada ya muda mrefu kupita tangu collable ya mchekeshaji 
"Joti" na rapper Godzilla kudondosha bonge la hit "Lakuchumpa" sasa wamedondosha video ya wimbo huo...AVAILABLE ON YOUTUBE.COM

manaiki akiwa na barnaba na amin

barnaba,manaiki na amin
huu ndio ujumbe uliopostiwa na msanii manaiki ukiambatana na hiyo picha hapo juu...

sikusote ukiwa unajuwa kuishi na watu vizuri maisha yako yatakuwa happy, marafiki wa aina zote utapata. mimi huwa napenda sana kujishusha lakini wasanii wenzangu kumbe wananichukulia manaiki ze don hahahaa asante mungu kwa kunipa uvumilivu wa sanaa, najuwa nitafika mbali zaidi hapo niko na ndugu zangu ..... barnaba and amini.

Post ya kwanza ya Nando kwa mashabiki wake kupitia mtandao wa instagram


Kupitia mtandao wa instagram, mida ya saa tano usiku, kwa mara ya kwanza tangu alipoingia katika jumba la Big Brother,aliekuwa mshiriki wa BBA Nando,ambae anatumia "apple_juice07 katika acc yake, amepost picha yake na feza na kuwashukuru wale wote ambao mashabiki wake a.k.a #teamNando

Picha: Army Nando akiwa na mama yake mzazi LA, Califonia mara baada ya kutolewa katika mashindano ya BBA

Baada ya kutolewa katika mashindano ya BBA 2013,kwa kukiuka sheria za Biggie na kukutwa na kisu, mkasi pamoja na maneno ya vitisho dhidi ya mshiriki kutoka Ghana (Elikem), Army Nando ameshatua LA, Califonia, na kukutana na mama yake mzazi "Nancy Assenga" ambae pia ni meneja wake pamoja na mkurugenzi wa Swahili TV "Alex Kasuwi"


Nando akiwa na mama yake mzazi



kutoka kushoto ni Mayor wa LA, Deo Temba, Army Nando, Nancy Assenga (Mama mzazi na manager wake) pamoja na mkurugenzi mtendaji wa Swahili TV Bwana Alex Kassuwi

Forbes Africa imetoa Forbes Africa magazine model list Flaviana Matata ndani: Noma Sanaaa


Ikiwa imetangazwa siku chache zilizopita, Forbes Africa imetoa list ya ma-model wakali na wanaofanya vizuri, na model matata kutoka Tanzania "Flaviana Matata" ndani.
Ikiongozwa list na model mdogo mwenye miaka 21 kutoka Angola "Maria Borges" 2013 imemfanya kuwa hot model na mkali kwenye catwalk.
Forbes Africa Magazine ambalo limetoka August 1lina list ya ma-model wengine ambao wako karibu kukamata nafasi ya kwanza ya hotest model ambao ni Ajak Deng (Sudan), Grce Bol (Sudan), Candice Swanepoel (South Africa), Liya Kebede (Ethiopia), Katryn Kruger (South Africa) na mshiriki wa Miss Universe kutoka Tanzania (Flaviana Matata)

                                   Maria Borges

Picha: Wasanii na watangazaji walivyo futari na Raisi na familia yake Ikulu Dar

Wasanii mbali mbali na watangazaji walipata kualikwa ikulu jijini Dar, kwa ajili ya kuftari na Mh Raisi pamoja na familia yake.mara baada ya kuftari Mh Kikwete aliongea mawili matatu ikiwa ni pamoja na kuwapa moyo wasanii kwa kuendeleza sanaa maana hata yeye anapenda kusikiliza miziki yao

B12

Fetty

Dj Mully B



Jafarai na inspector Haroon

Qchief na Babu Tale 



Mwasiti, Fetty na Shilole

Chege, Nyandu Tozi na Madee

Kassim Mganga

Adama Mchomvu

Ben Pol (wa pili kutoka kulia)

Linex (wa kwanza kulia)







Looking good MashAllah, TID, Jafarai na Z Anto


Mzee mkorofi, Suma Lee


hahahaa Mbwiga nae hakukosa

Shekh AY na Ali Kiba

Marlow na Sam Misago


Feruz na Fela

Lamar na P Funk

Quick kama sio yeye loooool 








Hemedi Phd

Adama Juma

Dogo Asley


King Crazy GK


Shilole