It’s official. Riri na Chris Breezy hawako pamoja tena au kwa sasa hawako pamoja.
wapenzi hao wazamani, wameonekana wakitumia weekend zao kwa umbali wa maili 300 weekend iliyopita, huku Chris akila bata Vegas kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa, huku Rihanna akitumia siku ya jumamosi akiwa Barclays Center kwenye game kati ya Nets na Bulls
kwa mda sasa Riri na Breezy wamekuwa wakiwafanya mashbiki wao kuhisi kama wako pamoja au la, lakini finally ameamua kuzungumza wakati wa interview aliyofanya na “The Kyle and Jackie O Show.” wakati alipoulizwa kuhusu zawadi ipi ingekuwa zawadi nzuri kwake.
ambapo Chris alisema kukutana na wasichana wengi iwezekanavyo Vegas, kitu kilichomfanya mtangazaji kama yuko single ambapo alisema
"Yeah, I’mma do it solo. I mean at the end of the day, shawty
doing her own thang. She on the road… It’s always gonna be
love… I’m a grown man, just gotta fast forward."
doing her own thang. She on the road… It’s always gonna be
love… I’m a grown man, just gotta fast forward."
na alipoulizwa kama Rihanna ndio soul mate wake na kuwa siku zote watakuwa pamoja hiki ndicho alichokisema
"I’ll just put it like this, one thing I always want to do is never
disrespect nobody or put nobody down. The way I look at it is
that I am always gonna love that person and people have
different wants and needs. At the end of the day, she’s a
young girl. I can’t really be focused on wifing someone that
young. And I’m young too so I can’t focus on that right now. I
gotta step forward and be a man and be the best Chris Brown
I can be instead of worrying about whoever else is gonna be
on my side pocket."

0 comments:
Post a Comment