Super Nyota, Nay Lee, amedondosha joint nyingine mpya "Nipe Muda" chini ya mikono ya producer Mswaki.Nay Lee ni msanii alietokana na shindano la Super Nyota lililofanyika kwa ajili ya kukuza vipaji vya vijana waliomitaani ambapo alishinda na kuwakilisha mkoa wa Mbeya, na kutoka Mwanza, Young Killa ndio alikuwa mshindi.
Nipe muda ni single ya pili ya Nay Lee baada ya kuachia "Umeenda" uliofanya vizuri katika media mbali mbali.
0 comments:
Post a Comment