Manaikithedon and Iyaz sisi nindugu lakini iyaz alizamia nakwenda ulaya kufaiti maisha.......

Mimi nilifanya juhudi zakumtafuta ndugu yangu iyaz ikawa ngumu kidogo lakini kila baada ya miaka kwenda kunasiku nikawa nachek TV bahati nzuli nikabahatika kuiona nyimbo yake mwishoni kabisa hinaishia nilitamani waludie tena haikuwezekana Leo naishia hapa nitamalizia next


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment