HIVI NDIVYO WAKE UP INAVYOONGELEWA NA KUPEWA SIFA

Movie ya wake up ikiwa kama chachu na fundisho kwa maproducer wa filamu Tanzania, imejinyakulia sifa kedekede kutoka kwa wadau tofauti. Movie ya wake up ambayo imezingatia miko ya sanaa ya filamu katika uhandaaji wake, imekuwa ni mfano kwa wengine na hata kwa maproducer wapya ambao wanategemea kuingia katika sanaa hii. Wale ambao hawaangalii filamu za kibongo sasa wanakila sababu ya kuangalia kutokana na mapinduzi aliyoyaleta kijana mwenzetu manaiki sanga

0 comments:

Post a Comment