MANAIKI SANGA IN TAKE ONE INTERVIEW

Take One Interview today ilikuwa noma...yule mliomuona ni mimi na wala sijalibu kuwa mtu mwingine...movie ya WAKE-UP imenipa nafasi kubwa katika jamii kutokana na ukubwa na utofauti wake katika soko la filamu tanzania...naamini kuna watu wengi uko nje ambao wanandoto za kufika hapa nilipo pengine zaidi ya hapa, ningependa kuwaambia kuwa inawezekana na huu ni wakati wa kufanya tu na sio vinginevyo hata kama ni kidogo tafuta namna ya kuwafanya watu wakione. WAKE-UP


1 comments: