NIKIWA NA ERNEST NAPOLIN PRODUCER MWENZANGU ALIETENGENEZA MOVIE YA GOING BONGO

ni moja kati ya maproducer wenzangu ambao tunafanana mawazo kwa kushea picha kubwa...naamini tanzania itafanya mapinduzi katika tasnia ya filamu africa siku sio nyingi. wake up inaingia sokoni tarehe 31/082015 naitaji support wadau wote

0 comments:

Post a Comment