KAZI KWENDA MBELE

Mashabiki wangu wote kwa sasa mtalajie vitu vingi kutoka kwangu hasa kwa upande wa filamu. nimefanya filamu kadhaa ambazo ziko mbioni kutoka na baadhi zipo tayari sokoni kama "UNREPLACABLE", "THE LAST COIN", "LOVE POSITION". naitaji support yenu wadau.

0 comments:

Post a Comment