UJIO MPYA MBIONI

nimeanza kufanya maanadalizi ya filamu yangu mpya ambayo itaambatanisha mastar wengi wenye uwezo katika tasinia hii ya filamu tanzania. mashabiki wangu wote na mashabiki wa bongo movie kiujumla, mtalajie mambo makubwa kutoka katika kazi hiyo ambayo sio muda mrefu itaanza kuandaliwa.

0 comments:

Post a Comment