DIVA NA PREZZO (KUBWA KULIKO ZOTE WEEKEND HII)


Wacha weeeeeee hii ndio habari
ya Dar mitandaoni kwa sasa








baada  ya  la hapo juu mambo yakawa mambo haya sasa jionee Drama in Dar City






hizo zilikuwa breakfast tweets kwa mheshimiwa mbunge, mpaka sintah.com inakwenda mitamboni heeee mheshimiwa alikuwa hajajibu hata tweet moja ya hizo hapo juu. Chinekeeeee


vamimi

. Pliz handle this woman from kenya that been so busy attacking me. Attacking my country as well, mfunzeni .

Baada ya Sakata na Mh hapo juu sijuwi mwanadada huyu alitokea wapi kutokea +254 na hii ndio kali kuliko unakumbuka kibao cha ze boyiii iz mine hapa ndipo muafaka

here we goo +254 Hodiii Boss Lady (KE)









0 comments:

Post a Comment