WANAJARIBU KUNISHUSHA

MIMI NI MTU NA PRINCIPLES ZANGU KATIKA MAISHA, NA NAJIESHIMU NIKIWA KAMA KIOO CHA JAMII, SIWEZI KUFANYA MAMBO KAMA HAYO. NIMEKUWA NIKIKABILIWA NA SHUGHULI NYINGI KATIKA SANAA KIUJUMLA NA MAMBO YA KIFAMILIA MENGI SO SINA MUDA HUO. MASHABIKI WANGU MTARAJIE MENGI KUTOKA KWANGU YA KUJENGA ZAIDI NA SIO KUBOMOA.

0 comments:

Post a Comment